For More Info /e-mail hayashi@diyatajapan.co.jp
Call
Kenji
Hayashi/Owner,Japanese
Mobile:81-80-3767-6896
Phone:81-72-337-9886
ABOUT DIYATA JAPAN
First of all, we would like to introduce our selves.
DIYATA JAPAN is an Osaka based export company specialising in secound hand
Japanese cars.
We are members of JUMVEA (Japan Used Motor Vehicles Exporters Association)
and exportapproximately 800-1,000 used cars to over 10 countries from Japan.
|
Now for the service we provide
- Used Japanese cars available - We are a member of the
used car auctions in Osaka. There are over 20-car auctions held in the Osaka area.
every week Most used Japanese cars are available at these auctions.
- Quick response - Please contact us by e-mail: hayashi@diyatajapan.co.jp
or Fax: 81-723-37-1244 with your imquiry. We will send you our best quote immediately.
We will send you a stock list by fax or e-mail, All we need is the name of manufacture
and car. Your price range and other detail you feel neccssary.
- Professional staff are always with you at the auctions
- We have auction staff who know about the used cars and the market and a available
to go everyday. They can also provide assistance in purchasing the vehicle(s)
assist your business when you come to purchase used cars by yourself.All services
can be provided in English. Please do not hesitate to contact us by phone, fax,
or e-mail.
- Come to Osaka to see us. - It is the simplest and quickest
way to get lots of used cars in a short period of time. Just tell us when you
plan to come to Japan.
- accommodation - We can arrage accommodation for you at
reasonable prices.
- Pick up service - Just tell us your fright datails, and
We can pick you up at the Kansai International Airport(Osaka). We can also pick
you up from your hotel every moring,take you to auction and return you
to the hotel.
- Welcome dinner - We shall invite you to our favorite
Japanese restaurant
|
Kuhusu DIYATA JAPAN
DIYATA JAPAN ni kampuni iliyoko mjini Osaka,
Japan ambayo inauza nje magari ya Japan yaliyotumika.
Sisi ni mwanachama wa JUMVEA (Japan Used Motor Vehicles Exporters
Association : Cahama cha Wafanyabiashara wa Magari Yaliyotumika cha Japan)
tunauzia magari kama 800-1000 kwenye zaidi ya nchi 10 kutoka Japani. |
Huduma tunazozitoa kwa sasa
- Magari ya Japan yaliyotumika yanapatikana - Sisi tunashirikiana
na minada ya magari yaliyotumika hapa Osaka. Kuna minada mingi zaidi ya 20 inayofanyika
eneo la Osaka kila wiki ambapo yanapatikana karibu magari yote ya Japan yaliyotumika.
- Itikio yetu haraka - Utueleze maswali au mahitaji yako
kwa e-mail : hayashi@diyatajapan.co.jp
au kwa Fax: 81-723-37-1244. Tutakujibu upesi na kukuonyesha kadirio nzuri zaidi.
Tutakutumia orodha ya magari yanayopatikana kwa Email au kwa Fax. Kitu tunachohitaji
kujua ni hasa majina ya bidhaa na ya magari unayoyahitaji, kiasi cha gharama yako,
na kitu kiingine cha zaidi unachohitaji.
- Wataalamu wapo kwa ajili yako kila wakati kwenye minada
- Sisi tuna wataalamu wa minada walio na ujuzi kuhusu magari yaliyotumika na mambo
ya soko ambao wanaweza kwenda nawe minadani kila siku kukusaidia biashara yako
ya magari unapokuja kununua mwenyewe. Huduma yote inaweza kutolewa kwa Kiingereza.
Usisite kuwasiliana nasi kwa simu, fax au email.
- Karibu njoo Osaka ututembelee - Hiyo ni njia rahisi tena
haraka kupata magari mengi kwa muda mfupi. Ukiwa na mpango wa kuja Japan basi
utujuulishe. Utakaribishwa sana.
- Mahali pa kufikia - Tunaweza kukupangia mahali pa kufikia
kwa bei nafuu.
- Uchukuzi - Ukitujuulisha tu safari yako ya kuja Japan
( kama utafika kwa ndege gani na saa ngapi n.k. ), tunaweza kuja kukupokea mpaka
kituo cha ndege cha Osaka (Kansai International Airport). Pia tunaweza kuja kukuchukua
hotelini kila siku asubuhi tukupeleke kwenye minada.
- Karibu chakula - Tutakualika mkahawani tule chakula kitamu
cha kijapani.
|
Mpigie simu Kenji Hayashi ; Mmiliki mjapani wa kampuni yetu
Simu ya mkononi : 81-80-3767-6896
Simu ya kawaida : 81-72-337-9886
|